TAMISEMI:Teachers Employment,Majina Ajira Mpya Walimu wa Msingi na Sekondari April 27, 2019

  

About The Ministry of Education:
Mission: "To put in place and  strengthen structures and procedures which will enable a country to get educated and  continuous learning Tanzanians that add value in National development."
Vision: "An educated Tanzanian with the requisite knowledge, skills, ability and positive attitude that add value in National development."


Public Notice about New Employed Primary and Secondary School Teachers
The government(OR-TAMISEMI)  announces the list of new employed Primary and Secondary School Teachers. Read carefully the announcement below then Download The PDF file contain all names at the end of this advert:

 AJIRA MBADALA ZA WALIMU APRIL 2019 -April 27, 2019


CLICK HERE TO VIEW TEACHERS NAMES HAVE BEEN EMPLOYED BY GOVERNMENT READ THE NAMES AND THE WORK STATION BELOW.


23 comments:

 1. Enter your comment...Majina yenyewe mbona hayafunguki ?

  ReplyDelete
 2. Mbona maigizo tuu hakuna kinachofunguka

  ReplyDelete
 3. Serikali inatakiwa kuangalia swala hili maana limeshakuwa kama mchezo watu kucheza na akili za watu.by DAUPIZO TV

  ReplyDelete
 4. Serikali inatakiwa kuangalia swala hili maana limeshakuwa kama mchezo watu kucheza na akili za watu.by DAUPIZO TV

  ReplyDelete
 5. Kweli mnachosha akili za waalimu licha ya kuwa ndo watu walowafundisha kutype sasa mmeamua kuwachezea tena akili kwa kuwapostia uongo...jamani waalimu ni watu tunaotakiwa kupewa hheshima yenu mno...

  ReplyDelete
 6. hyo link inafunguka tatzo ipo bzee sana

  ReplyDelete
 7. Mbona majina hayafunguki?? Acheni kutuchezea akili nyie kama mmeweka tangazo public halafu majina yenyewe hayapo maana yake Nini Sasa?

  ReplyDelete
 8. jaman link inafunguka kama utatumia mtandao wenyekasu zaid

  ReplyDelete
 9. Mmmhh kasi hipi anayosemea admin ...

  ReplyDelete
 10. Hakuna majina hapo wizi mtupu

  ReplyDelete
 11. Shubamiti tokea ASB nafungua haifunguki

  ReplyDelete
 12. Mfumo wao tuu.umekaa vibaya

  ReplyDelete
 13. Ha haaaaaa, nimeangalia Sana jina langu silioni

  ReplyDelete
 14. Majina yanafunguka inategemea unatumia Mtandao gani, Kwamtandao Kama Airtel inafunguka vzr xana

  ReplyDelete
 15. bofya kwenye hayo maandishi mekundu..yanfunguka..acheni kulalamika hovyo!!

  ReplyDelete